Micah 6:4


4 aNimewatoa kutoka Misri na kuwakomboa
kutoka nchi ya utumwa.
Nilimtuma Musa awaongoze,
pia Haruni na Miriamu.
Copyright information for SwhKC